LIBENEKE JIPYA LA CHINGA ONE LIPO HEWANI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

LIBENEKE JIPYA LA CHINGA ONE LIPO HEWANI

Kwa Niaba ya Wadau  na Wapenzi wangu  wote,  Napenda kuwajulisha Watanzania uwepo wa ukurasa  wa www.chingaone.blogspot.com ambao uko rasmi katika  kuwaletea habari za kitaifa, Kimataifa na dunia kwa ujumla, . Kauli mbinu yetu ni 
 
"UWEPO WANGU NI KWA AJILI YAKO"
ni imani yangu kuwa bila wewe mimi siwezi kuwepo kwa hiyo uwepo wenu una umuhimu mkubwa kwangu.
 
Jennifer Livigha
Chingaone Founder -  Operation Director

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages