JUST IN: WANAFUNZI WA UDOM WAINGIA BARABARANI KWAAJILI YA KWENDA BUNGENI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JUST IN: WANAFUNZI WA UDOM WAINGIA BARABARANI KWAAJILI YA KWENDA BUNGENI

Wanafunzi Wa Kitivo cha Sayansi ya Jamii cha Chuo Kikuu Cha Dodoma asubuhi hii  waandamana kwenda kuwafuata wenzao wanaoishi shule ya sanaa ya lugha ili waanze maadamano kwaajili ya kuelekea bungeni kuonana na waziri mkuu. Wanafunzi hao wameonekana wamebeba maji kwaajili ya kujilinda na mabomu ya machozi endapo polisi watatumia kwaajili ya kuwatawanya

Wakati huo mtandao huu umepokea taarifa kuwa wanafunzi wa kitivo cha sayansi asilia kutoka UDOM nao wameaandamana kwa lengo la kwenda bungeni lakini bila mafanikio ambapo taarifa zinaeleza kuwa wamezuiliwa mahakamani
Tuvute subira Tutawajuza

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages