Rais Jakaya Kikwete akiagana na Waziri wa
Mambo ya Nje wa Marekani Hilary Clinton baada ya mazungumzo yao, Ikulu
jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Clinton ambaye alikuwa nchini kwa
ziara ya kikazi ya siku tatu baadaye aliondoka nchini kwenda Ethiopia.
(Picha na Freddy Maro).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)