HOLLY FAMILY YA RUVUMA YATWAA UBINGWA WA KOMBE LA MUUNGANO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

HOLLY FAMILY YA RUVUMA YATWAA UBINGWA WA KOMBE LA MUUNGANO


Waziri wa nchi ofisi ya Rais anayeshughulikia utawala bora Mathias Chikawe (kulia) akitazama mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 4 iliyotolewa na Vodacom Tanzania kwa bingwa wa mashindano ya kombe la Muungano Mufindi timu ya Holly Family ya Ruvuma leo. Wengine pichani ni meneja wa Vodacom Tanzania mikoa ya kusini Jackson Kiswaga na mratibu wa mashindano hayo Daud Yasin.

Waziri wa nchi ofisi ya Rais anayeshughulikia utawala bora Mathias Chikawe (kushoto) akisalimiana na mdau wa soka mkoa wa Iringa Feisal Asas katika viwanja vya shule ya msingi Igowole leo wakati wa fainali ya kombe la Vodacom Muungano Cup
Waziri wa nchi ofisi ya Rais anayeshughulikia utawala bora Mathias Chikawe(katikati) akitambulishwa na mratibu wa kombe la Muungano Mufindi Daud Yasin kwa meneja wa Vodacom mikoa ya kusini Bw Jackson Kiswaga

Credits:  Mbeya Yetu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages