RAISI KIKWETE AUDHURIA MAZISHI YA ALBERTINA SISULU NCHIN AFRIKA KUSINI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAISI KIKWETE AUDHURIA MAZISHI YA ALBERTINA SISULU NCHIN AFRIKA KUSINI


Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Mstaafu wa Zambia Dr.Kenneth Kaunda na Mama Graca Machel wakiwa katika ibada ya Mazishi ya mpigani Uhuru wa Afrika ya Kusini Marehemu Albertina Sisulu iliyofanyika katika uwanja wa michezo wa Orlando,Soweto jana asubuhi.Marehemu Albertina Sisulu alikuwa mke wa mpigania uhuru wa Afrika ya Kusini marehemu Walter Sisulu.

Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Mstaafu wa Zambia Dr. Kenneth Kaunda wakiwa katika Mazishi ya mpigania uhuru wa Afrikaya Kusini Marehemu Albertina Sisulu yaliyofanyika katika makaburi ya Newclare, katika kitongoji cha Soweto jana mchana
( Picha: Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages