Bunge la serikali Ya Wanafunzi Lilikaa jana na kutofikia muafaka na kusababisha baadhi ya wabunge kutaka kupigwa na mpaka sasa wanafunzi wamekusanyika katika uwanja wa mpira wa kikapu kujua walichoamua bungeni kwa yanayojiri tuvute subira tutawajuza muda si mrefu
-
mi nashangaa sana serikali yetu hii inayonyanyasa wasomi bila kusahau kesho watatusaidia wapi? ni mimi mdau namba moja wa blog hii.crispaseve
ReplyDelete