BONANZA LA KUGAWA TUZO KWA WASHINDI WA EXCEL WITH GRAND MALT LAFUNIKA KATIKA VIWANJA VYA TCC CHANG'OMBE HAPO JANA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BONANZA LA KUGAWA TUZO KWA WASHINDI WA EXCEL WITH GRAND MALT LAFUNIKA KATIKA VIWANJA VYA TCC CHANG'OMBE HAPO JANA

Hii ilikuwa jana pale Chang'ombe TCC Club kwenye show ya GRAND MALT. Wasanii waliotumbuiza ni pamoja na Chege & Temba, Chidi Beenz & Chiku K pamoja na Joh Makini.

Kwa steji ni Joh Makini

 Nikiwa mtamboni kwenye show ya Joh


 Chidi Beenz na LA Familia
Credits: Bongo Star Link

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages