BARAZA LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI NCHINI LAKABIDHI VYETI KWA WAJASIRIAMALI MKOANI MTWARA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BARAZA LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI NCHINI LAKABIDHI VYETI KWA WAJASIRIAMALI MKOANI MTWARA


Katibu Mtendaji wa Baraza La Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Dr. Anacleti Kashuliza akihutubia katika hafla hiyo.
Mwenyekiti wa Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Ndugu Emanueli Kamba akizungumza katika hafla hiyo
Mgeni rasmi katika hafla ya kuwakabidhi vyeti Wajasiriamali wa Zao la Korosho, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mheshimiwa Anatory Tarimo akizungumza na wajasiriamali kwa msisitizo katika hafla hiyo.
Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Mtwara  Mh. Anatory Tarimo akimkabidhi cheti cha utambulisho kwa Baraza mmoja wa Wajasiriamali katika hafla hiyo.
 -
Na
Edward Kessy
Afisa Habari na Ushawishi
BARAZA LA TAIFA LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages