MSANII DIAMOND AREKODI NYIMBO MPYA NAPOLI-ITALY. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MSANII DIAMOND AREKODI NYIMBO MPYA NAPOLI-ITALY.

Diamond  pichani akiwa studio aliwasili Italy siku ya jumatano na kuanza kazi moja kwa moja katika studio za  SEE RECORDS iliyopo Napoli
----
Mkurugenzi wa SEE RECORDS ndugu Salim A. alisema anawakaribisha wasanii wote wa Kitanzania hasa wa Bongo Flava  kufanya kazi na SEE RECORDS, na kuwa kila mwaka watachaguliwa wasanii wawili ambao watapewa nafasi ya kurekodi nyimbo moja na video kwa gharama za SEE RECORDS hii ni kwa ajili kuwapa nafasi zaidi wasanii wa Kitanzania kuonekana kimataifa .Diamond ni msanii wa kwanza katika mpango huo. 
 
Diamond ambae anaondoka leo kuelekea Ugiriki Athens  ambako anaendelea na show baada ya Sweden na Holland anategemea kurudi tena mwezi Agosti mjini Napoli kwa ajili ya kutengeneza video ya nyimbo hiyo inayotwa KIZAIZAI.
 
SEE RECORDS.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages