LADY JAY DEE KUFANYA SHOW NA OLIVA MTUKUZI JUMAPILI HII - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

LADY JAY DEE KUFANYA SHOW NA OLIVA MTUKUZI JUMAPILI HII

Legend wa muziki wa AfroPop OLIVER 'TUKU' MTUKUDZI toka Zimbabwe atafanya onesho maalum na Malkia wa AfroPop LADY JAYDEE wa Tanzania.

Show hii special itafanyika Jumapili tarehe 19 June pale katika mgahawa wa NYUMBANI Lounge inayomilikiwa na Jide mwenyewe.

Viingilio ni 30,000 na 50,000 seat maalum pamoja na Dinner nzuri sana ya BBQ.
OLIVER Mtukudzi na Black Spirit Band kwa pamoja na LADY JAYDEE na Machozi Band show itaanza saa 2usiku mpaka saa 8usiku.
Kwa Booking mpigie Gardner G. Habash
+255 784 884007
Na Mbeya Yetu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages