ZIARA YA RAISI WA ZANZIBAR DK ALI MOHAMMED SHEIM MKOA WA MJINI MAGHARIBI LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ZIARA YA RAISI WA ZANZIBAR DK ALI MOHAMMED SHEIM MKOA WA MJINI MAGHARIBI LEO


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Meya wa Manispaa ya Mjini Zanzibar,alipotembelea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi,Abdalla Mwinyi Khamis,alipokuwa katika  ziara ya kutembelea sehemu mbali mbali za Mkoa wa Mjini Magharibi, zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akipokea ripoti ya Mkoa kutoka Mkuu wa Mkoa Mjini Mahgaribi Abdalla Mwinyi Khamis,alipotembelea ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mjini,hapo Vuga Mjini Zanzibar,alipokuwa katika  ziara ya kutembelea sehemu mbali mbali za Mkoa wa Mjini Magharibi, zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akibadilishana mawazo na Mkuu wa Mkoa wa Mjini,Abdalla Mwinyi Khamis,(wapili kulia)Waziri Ali Juma Shamuhuna,Wizara ya Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati,(katikati) na Meya wa Manispaa ya Mjini Zanzibar,alipotembelea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mjini,hapo Vuga Mjini Zanzibar,alipokuwa katika ziara ya kutembelea sehemu mbali mbali za Mkoa wa Mjini Magharibi, zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akiangalia ramani,pamoja na kupata maelezo kutoka kwa kaimu Mkurugenzi wa Manispaa Mzee Khamis,alipotembelea eneo la viwanja vya Mnazi Mmoja jana,akiwa katika ziara ya kutembelea sehemu mbali mbali za Mkoa wa Mjini Magharibi, zilizo chini ya Ofisi nya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akitembelea eneo la bwawa la Hoteli ya bwawani jana,akiwa katika ziara ya kutembelea sehemu mbali mbali za Mkoa wa Mjini Magharibi, zilizo chini ya Ofisi nya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk ALi Mohamed Shein,(wa pili kushotoi)akisalimiana na watoto wa Skuli ya Maandalizi ya Meya,baada ya kuzungumza na wazee na wananchi wakti wa uzinduzi wa skuli hiyo,alipokuwa katika  ziara ya kutembelea Ofisi mbali mbali    zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mkoa wa Mjini Magharibi.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na wazee wa jimbo la Mpendae alipotembelea kituo cha Afya Mpendae wilaya ya mjini,alipokuwa katika ziara ya kutembelea Ofisi mbali mbali zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mkoa wa Mjini Magharibi.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akiangalia mashine  za uzalishaji wa Mbegu za Ng'ombe, huko Maruhubi katika kituo cha uzalishaji mbegu hizo, kilicho chini ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi,alipokuwa katika  ziara ya kutembelea Ofisi mbali mbali    zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,katika Mkoa wa Mjini Magharibi
Baadhi ya Maofisa wa kutoka wizara mbali mbali zilizo chini ya  Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar,Dk Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) alipozungumza nao jana,akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mjini Magharibi.Picha na Othman Maulid Othman

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages