Waziri Mkuu Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa jengo la Kituo cha Upasuaji Tiba na Mafunzo ya ugonjwa wa moyo kwenye hospitali ya taifa ya Muhimbili Dar es salaam jana. Kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya Blandina Nyoni.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na wauguzi na madaktari wa kitingo cha tiba ya figo kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dar es salaam jana.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)