TAIFA STARS YAPULIZISHWA VUVUZELA NA BAFANA BAFANA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TAIFA STARS YAPULIZISHWA VUVUZELA NA BAFANA BAFANA

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Jan Poulsen (kulia) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, muda mfupi kabla ya pambano dhidi ya Bafana Bafana ya Afrika Kusini jana , mchezo uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.Picha na Mdau Richard Mwaikenda
----
TIMU ya soka ya Taifa,Taifa Stars imeshindwa kutamba mbele ya Afrika Kusini ‘Bafana Bafana’ baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 katika mechi ya kirafiki iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.


Wageni walipata bao katika dakika ya 43 mfungaji akiwa Siyabonga Sangweni aliyefunga bao hilo kwa kichwa kutokana na mpira wa kona ambao uzembe wa kipa wa Stars, Juma Kaseja na beki yake, ulifanya washindwe kuokoa.Kwa habari zaidi <<< BOFYA HAPA >>>

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages