NAPE AKILICHARAZA GITAA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NAPE AKILICHARAZA GITAA


Nape na Martha Mlata wakiwajibika kwenye mkutanao 
--  
KATIBU wa NEC,Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) mkoa wa Singida, Martha Mlata, juzi walipagawisha wananchi baada ya kupanda jukwaani na bendi ya Paradise Singers iliyokuwa ikitumbuiza kwenye mkutano wa kutambulisha wajumbe wa Sekretarieti ya CCM uliofanyika katika mji mdogo wa Itingi mkoani Singida.Baada ya msafara wa Wajumbe hao wa sekretarieti ya CCM kuwasili kwenye uwanja wa mkutano, bendi hiyo iliporomosha muziki wa mapokezi na ghafla, Nape alipanda jukwaani na kuchukua gita la besi na kuaza kulicharaza kwa madaha.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages