SPIKA WA BUNGE MH ANNE MAKINDA AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SPIKA WA BUNGE MH ANNE MAKINDA AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI


 
Mheshimiwa Spika Anne Makinda 
-- 

Mh.Anne Sembamba Makinda(Mb),Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anasikitika kutangaza msiba wa mama yake mzazi TULIKELA SAMNYUHA uliotokea ghafla Alhamisi tarehe 05/05/2011 mjini Dodoma.

Mazishi yatafanyika siku ya Jumapili Tarehe 08/05/2011 Kijijini kwao Njombe.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe Ameen.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages