RIPOTI YA HALI ZA KIBENKI YAZINDULIWA JANA JIJINI DAR ES SALAAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RIPOTI YA HALI ZA KIBENKI YAZINDULIWA JANA JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Chama cha wenye Mabenki Tanzania na ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru (kushoto) Mwenyekiti wa kampuni ya Serengeti Advisers, Balozi Ami Mpumbwe na Mfanyabiashara maarufu na mwanasiasa mkongwe, Iddi Simba wakiwa katika uzinduzi Ripoti ya Hali za Kibenki kwa Mwaka 2011 jijini Dar es Salaam jana.

Mwenyekiti wa Chama cha wenye Mabenki Tanzania na ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru (kulia), akishikana mikono ya Mkuu wa Mawasiliano wa Benki ya Barclays Tanzania Kati Kerenge wakati wa hafla ya uzinduzi wa Ripoti ya Hali za Kibenki kwa Mwaka 2011 jijini Dar es Salaam jana.

Mwenyekiti wa Chama cha wenye Mabenki Tanzania na ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru, akihutubia wakati akizindua rasmi ripoti ya Hali za Kibenki kwa Mwaka 2011 jijini Dar es Salaam jana.

Mshauri wa Mawasiliano wa Benki ya NBC Tanzania, Robi Matiko-Simba, Mkuu wa Masoko wa benki hiyo, Mwinda Kiula-Mfugale (katikati) na Mkuu wa Masoko wa benki ya Stanbic, Abdallah Singano (kulia) wakibadilishana mawazo katika hafla ya uzinduzi rasmi wa Ripoti ya Hali za Kibenki kwa Mwaka 2011 jijini Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages