MATUKIO YA MISS UNIVERSE YALIVYOKUA NDANI YA GOLDEN TULIP - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MATUKIO YA MISS UNIVERSE YALIVYOKUA NDANI YA GOLDEN TULIP

JOPO LA MAJAJI WAKIONGOZWA NA OFISA MTENDAJI MKUU WA MASOKO NA MAHUSIANO WA VODACOM TANZANIA MWAMVITA MAKAMBA WAKIFUATILIA KWA UMAKINI SHINDANO LA MISS UNIVERSE LILILOKUWA LIKIFANYIKA KATIKA HOTELI YA GOLDEN TULIP NA KUDHAMINIWA NA VODACOM TANZANIA,MWISHONI MWA WIKI.

Mkuu wa UDHAMINI WA VODACOM TANZANIA GEORGE RWEHUMBIZA AKITETA JAMBO NA MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI HIYO Dietlof Mare WAKATI SHINDANO LA MISS UNIVERSE LIKIENDELEA KATIKA HOTELI YA GOLDEN TULIP MASAKI JIJINI DAR ES SALAAM MWISHoni mWA WIKI.

BAADHI YA WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI YA VODACOM TANZANIA WAKISHUHUDIA SHINDANO LA VODACOM MISS UNIVERSE KATIKA HOTELI YA GOLDEN TULIP JIJINI AMBAPO MREMBO NELLY KAMWELU ALIIBUKA MSHINDI.


WAREMBO WA MISS UNIVERSE WALIOFIKIA HATUA YA TANO BORA WAKIWA JUKWAANI KATIKA PICHA YA PAMOJA KABLA YA MSHINDI KUPATIKANA USIKU WA SHINDANO HILO,Vodacom walidhamini shindano hilo LILILOFANYIKA GOLDEN TULIP HOTEL MWISHONI MWA WIKI.

MENEJA WA MAMBO YA NJE WA VODACOM TANZANIA NECTOR FOYA AKIMKABIDHI MISS UNIVERSE 2011 NELLY KAMWELU ZAWADI YA SIMU YA BLACKBERRY YENYE KIFURUSHI CHA MUDA WA MAONGEZI WA MIEZI 6 PAMOJA NA SAMSUNG TABLET (KIFAA CHA INTANET) CHENYE UWEZO WA KUREKODI SAUTI, DATA N.K, ANAYESHUHUDIA KULIA NI MKUU WA UDHAMINI WA KAMPUNI HIYO BW GEORGE RWEHUMBIZA.




Wasanii wa kundi la Afrikan Nashi la jijini Dares salaam wakionyesha mbwembwe zao wakati wa shindano la kumtafuta mshindi wa Miss Universe AMBAPO NELLY KAMWELU ALINYAKUA TAJI HILO lililofanyika mwishoni mwa wiki na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages