Timu
ya mashabiki wa timu ya Manchester United ya uingereza ambao wameibuka
kidedea na kuwa mabingwa katika Tamasha la mabingwa wa Mwendelezo wa
Msimu Dhahabu na Serengeti Soccer Bonanza Mkoani Tanga, wakishangilia
na kuinua kombe lao juu baada ya kushinda katika mchezo dhidi yao na
timu ya mashabiki wa Barcelona mkoani humo na hatimaye timu hiyo
ikamalizia hasira zake kwa wapinzani wao hao Barcelona kwa kuwabamiza
kwa mikwaju ya penati tatu kwa moja baada ya kutoka suluhu katika dakika
za 90 kumalizika bila kufungana kwenye bonanza lililofanyika leo kwenye
uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga.
Meneja mauzo wa Kampuni ya Serengeti Breweries mkoani Tanga, Faki Mohamed,(mwenye kofia) akikabidhi kombe kwa Nahodha wa timu ya mashabiki wa Manchester United, Julius Silasi, baada ya timu hiyo kuibamiza Barcelona katika mchezo wa fainali za Mwendelezo wa Msimu Dhahabu na Serengeti Soccer Bonanza. Kulia ni mratibu wa Bonanza hilo, Shafii Dauda (katikati) ni Meneja Mauzo wa Kanda Patrick Kisaka na Peter Ngassa.
Habari na Picha Kwa Hisani Ya Sufiani Mafoto

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)