RAISI WA ZANZIBAR DK SHEIN AREJEA ZANZIBAR KUTOKEA UTURUKI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAISI WA ZANZIBAR DK SHEIN AREJEA ZANZIBAR KUTOKEA UTURUKI


 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Serikali  alipowasili Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akirejea ziarani Nchi Uturuki.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyakiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wananchi waliofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea ziarani Nchini Uturuki.  
  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Waandishi wa Wahabari wa Vyombo mbalimbali vilioko Zanibar alipowasili Uwanja wa Ndege wa Zanzibar.akielezea mafanikio ya Ziara yake.
  MUANDISHI wa habari wa ITV Redio One Farouk Karim  akimuuliza swali Rais wa Zanzibar  alipokuwa akizungumza na Waandishi wa habari  alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar.  
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, baada ya kumaliza mazungumzo na Waandishi wa habari  uwanja wa Ndege wa Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages