Rais Jakaya Kikwete akizungumza na maofisa kutoka Benki ya Dunia(WB)na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF)waliowasilisha mada mbalimbali katika semina elekezi inayohudhuriwa na mawaziri,manaibu mawaziri, makatibu wakuu,na maofisa wengine waandamizi serikalini nje kidogo ya mji wa Dodoma.Picha na Freddy Maro-IKULU
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)