RAISI JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA RAISI WA VISIWA VYA COMORO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAISI JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA RAISI WA VISIWA VYA COMORO

Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha Rais wa visiwa vya Comoro  Ahmed Abdallah Mohamed Sambi ,Ikulu tarehe leo.
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na mgeni wake, Rais wa Visiwa vya Comoro, Ahmed Abdallah Mohamed Sambi, Ikulu tarehe leo 7.5.2011. Picha na Mdau John Lukuwi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages