MAKAMU WA RAISI DK GHARIB BILAL AELEKEA UTURUKI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAKAMU WA RAISI DK GHARIB BILAL AELEKEA UTURUKI


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akiagana na Msaidizi Mkuu wa Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Derhan Dogan katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam leo, wakati Makamu wa Rais alipokuwa akielekea Nchini Turkish kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano Mkuu wa nne wa Umoja wa Mataifa, utakaozungumzia juu ya Maendeleo ya Nchi masikini Duniani. Mkutano huo unatarajiwa kuanza jumaatatu ijayo mjini Istanbul. Katikati Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Mhe. Mahadhi Juma Maalim.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages