KAMPUNI YA BIA YA TBL YAKARABATI HOSPITALI YA MWANANYAMALA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KAMPUNI YA BIA YA TBL YAKARABATI HOSPITALI YA MWANANYAMALA

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Bw. JordanRugimbana (mbele),akisindikizwa na Mhandisi wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL)Bw. John Malisa (kulia) kukagua choo cha wodi ya kinamama ya Hospitali yaMwananyamala, Dar es Salaam, kilichokarabatiwa na TBL.Kushoto ni MenejaMiradi Maalum wa TBL, Emma Oriyo. Hafla hiyo ya kukabidhi choo na jengo la akinamama ilifanyika juzi hospitalini hapo.
 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Bw. JordanRugimbana (wa pili kulia), akitoka kukagua choo cha wodi ya kinamama katika Hospitaliya Mwananyamala kilichofanyiwa ukarabati mkubwa kwa msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL). Wengine kutoka kushoto ni Ofisa Uhusiano wa TBL Bi. Doris Malulu, Meneja Miradi Maalumu wa TBL, Bi. Emma Oriyo na Mhandisi wa wa kampuni hiyo, Bw. John Malisa.Hafla hiyo ya kukabidhi choo na jengo la akinamama ilifanyika juzi hospitalini hapo.
 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Bw. Jordan Rugimbana (kushoto), akimpa mkono wa pongezi Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bi Doris Malulu, baada ya kupokea juzi jengo la wodi ya kinamama la Hospitali ya Mwananyamala lililofanyiwa ukarabati kwa msaada wa TBL. Wengine kulia ni Mhandisi wa TBL, Bw. John Malisa, Meneja Miradi Maalumu wa Kampuni hiyo, Bi. Emma Oriyo na Muuguzi wa Hospitali hiyo, Baraka Kapinga
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Bw. Jordan Rugimbana akizungumza na maofisa wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), baada ya kupokea jengo la wodi ya kinamama katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam juzi lililokarabatiwa kwa msaada wa TBL. Kutoka kulia ni Ofisa Uhusiano wa TBL, Bi.Doris Malulu, Meneja Miradi Maalumu wa TBL, Bi. Emma Oriyo, Muuguzi wa hospitali hiyo, Bi. Baraka Kapinga na Mhandisi John Malisa wa Kampuni hiyo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages