IFM MABINGWA POOL HIGHER LERNING JIJINI DAR. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

IFM MABINGWA POOL HIGHER LERNING JIJINI DAR.

Wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) wakifurahia kitita cha Sh 500,000, baada ya kuibuka mabingwa kwenye mashindano ya Pool kwa vyuo vya Dar es Salaam, yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Coco Beach
Mashabiki,wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali wakifuatilia michuano.
Kazi ipo..
Mchezaji wa IFM, Charles Venance akicheza

CBE wakikata taamaa huku baadhi wakiomba Mungu aingilie kati.
IFM wakishangilia na kucheza baada ya kuibuka mabingwaa
Na Machella Blog.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages