BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO LAFANYIKA JIJINI DAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO LAFANYIKA JIJINI DAR

 
Pichani juu: Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Emmanuel Nchimbi akiongea na viongozi na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa nane wa Baraza hilo jijini Dar es Salaam leo ambapo amewataka kufanya kazi kwa bidii na kuepuka migogoro mahala pa kazi. Kushoto ni Naibu Waziri Dkt. Fenella Mukangara na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Seith Kamuhanda (kulia).
Picha inayofuata ni Viongozi na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara hiyo wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri Nchimbi.
Viongozi na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Habari Vijana, Utamaduni na Michezo wakifuatilia kwa makini hotuba  ya Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Emmanuel Nchimbi aliyoitoa wakati wa ufunguzi wa mkutano wa nane wa Baraza hilo jijini Dar es Salaam leo.

Picha na Haruni Sanchawa/GPL

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages