MARANDA, FARIJALA WAPATA PIGO JINGINE MAHAKAMANI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MARANDA, FARIJALA WAPATA PIGO JINGINE MAHAKAMANI

   Rajabu Maranda (kulia) na binamu yake Farijala Hussein wakiwa kizimbani.
 
…Wakirudishwa gerezani.
WAFUNGWA wa kesi ya kujipatia fedha kutoka katika akaunti ya madeni ya nje (EPA), Rajabu Maranda na binamu yake Farijala Hussein leo (Jumatatu) walipatwa na pigo jingine baada ya kunyimwa nafasi ya kujitetea katika kesi nyingine inayowakabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.  Hiyo ni kufuatia mwenyekiti wa jopo linalosikiliza kesi hiyo kuwa nje ya mkoa kikazi. Kesi hiyo itasikilizwa Julai 19 mpaka 21 mwaka huu itakapopelekwa tena mahakamani hapo.


PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS GPL

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages