FARASI NA MBWAA JESHI LA POLISI NCHINI WAKIFANYA MAZOEZI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

FARASI NA MBWAA JESHI LA POLISI NCHINI WAKIFANYA MAZOEZI


 Askari wa kikosi cha mbwa na farasi akipita kuonyesha namna farasi anavyoweza kukimbia kwa kasi jana katika viwanja vya kikosi cha mbwa na farasi cha jeshi la Polisi Kurasini jijini Dar es Salaam wakati kikosi hicho kilipokua kinapokea msaada kutoka kwa mdau wa ulinzi na usalama Mult Cable Ltd.
 Polisi Konstebo Simon akimpitisha mbwa wa Polisi (PD) Gilo kwenye vikwazo jana katika viwanja vya kikosi cha mbwa na farasi cha jeshi la Polisi Kurasini jijini Dar es Salaam wakati kikosi hicho kilipokua kinapokea msaada kutoka kwa mdau wa ulinzi na usalama Mult Cable Ltd. Jeshi la Polisi kupitia kikosi chake cha mbwa na farasi linatoa wito kwa raia kupeleka mbwa wao kwa ajili ya mafunzo ili kuwasaidia katika ulinzi wa majumbani kwao bila gharama yeyote.
  Mbwa wa raia wakifanya onyesho la namna wanavyoweza kutambua mhalifu jana katika viwanja vya kikosi cha mbwa na farasi cha jeshi la Polisi Kurasini jijini Dar es Salaam wakati kikosi hicho kilipokua kinapokea msaada kutoka kwa mdau wa ulinzi na usalama Mult Cable Ltd. Mbwa hao wamepata mafunzo kutoka kikosi cha mbwa na farasi na wamefuzu.
Mbwa wa raia wakifanya onyesho la namna wanavyoweza kutambua mhalifu jana katika viwanja vya kikosi cha mbwa na farasi cha jeshi la Polisi Kurasini jijini Dar es Salaam wakati kikosi hicho kilipokua kinapokea msaada kutoka kwa mdau wa ulinzi na usalama Mult Cable Ltd. Mbwa hao wamepata mafunzo kutoka kikosi cha mbwa na farasi na wamefuzu.Picha na Hassan Mndeme

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages