BENKI YA NBC ILIPODHAMINI MKUTANO MKUU WA ALAT - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BENKI YA NBC ILIPODHAMINI MKUTANO MKUU WA ALAT


 Wafanyakazi wa NBC wakionyesha cheti walichokabidhiwa na ALAT kwa kutambua udhamini wa benki hiyo katika mkutano huo.
 Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya NBC,Lawrence Mafuru(kulia)akizungumza na baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT)uliomalizika jijini Dar es Salaam jana.NBC ilitoa shs milioni 10 kudhamini mkutano huo.Kushoto ni wabunge wa Viti Maalum Janeth Masaburi na Anna Lupembe (katikati)
 Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya NBC,Lawrence Mafuru(katikati)akizungumza na baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania(ALAT) uliomalizika jijini Dar es Salaam jana.NBC ilitoa shs milioni 10 kudhamini mkutano huo.
 Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliomalizika jijini Dar es Salaam jana wakipata maelezo kuhusu huduma za kibenki zitolewazo na benki ya NBC kutoka kwa ofisa wa benki hiyo, Allie Iddi (kushoto). NBC ilitoa shs milioni 10 kudhamini mkutano huo.
 Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliomalizika jijini Dar es Salaam jana wakifuatilia moja ya mada zilizokuwa zikitolewa wakati wa mkutano. NBC ilitoa shs milioni 10 kudhamini mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages