Rais Jakaya Kikwete akipokea zawadi kutoka kwa Msaidizi Mtendaji Mkuu wa Uongozi Institute,Linda Manu baada ya kuzindua bodi ya chuo hicho jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mwenyekiti wa bodi hiyo,Ritva Koukku-Ronde,Waziri wa Nchi, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Hawa Ghasia na Balozi wa Finland, Juhani Toivonen.Picha na Mpigapicha Wetu
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)