Mkurugenzi wa Maendeleo ya Watoto kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Bi. Tukae Njiku, akizindua rasmi sabuni mpya ya unga ya Ariel inayotengenezwa na kampuniya Procter and Gamble ya nchini Kenya katika viwanja vya karimjee jijini Dare s salaam jana, kulia ni Meneja Mkuu wa kampuni ya usambazaji sabuni hiyo ya Mek-One General Traders, Bw, Bhaudin Jainuddin.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)