AJALI YA BASI YAUA WATU 10 MKOANI GEITA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

AJALI YA BASI YAUA WATU 10 MKOANI GEITA

Basi la Bunda Expres na  Basi la Sheraton yamegongona uso kwa uso kjijini Utenge wilayani Geita, katika mkoa mpya wa Geita.Chanzo cha ajari hiyo kinaelezwa kuwa ni Basi la Sheraton kujaribu kulipita(over take)gari la mizigo aina ya Fuso. Watu 10 wameripotiwa kufa. 
(Chanzo:Radio Free Africa) Kupitia Kwa Mjengwa Blogu.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages