WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKAGUA PIKIPIKI YA MIGUU MITATU AMBAYO IMETENGENEZWA ILI KUMUDU KAZI YA KUZIMA MOTO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKAGUA PIKIPIKI YA MIGUU MITATU AMBAYO IMETENGENEZWA ILI KUMUDU KAZI YA KUZIMA MOTO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua pikipiki ya miguu mitatu ambayo imetengezwa ili kumudu kazi ya kuzima moto hasa kwenye maeneo yenye barabara nyembamba katika maonyesho yaliyoandaliwa na kampuni ya Spray and  Fumigation Services Limited,Bungeni Mjini Dodoma Aprili 7, 2011.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages