Watu wanokadiriwa zaidi ya watano wanasadikiwa kufariki baada ya mapigano kuzuka kati ya wakazi wa eneo la Nyakalekwa Tegeta na watu waliokodishwa kwenda kuvunja nyumba zilizojengwa katika eneo hilo lenye ukubwa wa hekta 200 linalodaiwa kumilikiwa na mkazi mmoja wa jijini Dar es salaam.
ajeruhi hao yadaiwa hali zao ni mbaya sana unavyoonoa nguo imetapakaa damu na si rangi Wananchi wakimtazama Baunsa, Amiri Abdallah(46), maarufu kwa jina la Chura Mchimba Makaburi ya Kinondoni, aliyejeruhiwa Dar es Salaam, akidaiwa kubomoa nyumba Wazo Hill Madale, akiwa na wenzake 26. Aliyemuinamia akimpa pole ni Mkewe
Watu walifika kushudia yaliyotokea katika eneo hilo.Picha zote na Habari zimeletwa Kwenu na Mdau Amani Masue na Richard Mwaikenda










No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)