WAWILI WAFA AJALI YA DALADALA DAR LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAWILI WAFA AJALI YA DALADALA DAR LEO

Daladala lililopata ajali likiwa eneo la tukio.

WATU wawili wamefariki na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa leo asubuhi jijini Dar es Salaam baada ya basi dogo aina ya Toyota DCM linalofanya shughuli za kusafirisha abiria (daladala) kati ya Kigogo Mburahati na Kivukoni jijini Dar es Salaam, kupinduka eneo la Kigogo Festini.

 
Baadhi ya wananchi waliofika kushudia ajali hiyo.

 
Kutokana na kutofunguka kwa mlango wa dharura, Wasamaria walivunja kioo cha mbele ili kuwachomoa majeruhi.

 
Mashuhuda wa ajali hiyo wakibadilishana mawazo.

PICHA: RICHARD BUKOS / GPL

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages