NENO LA LEO: KUNA WANAOSUBIRI KWENDA KWA BABU LOLIONDO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NENO LA LEO: KUNA WANAOSUBIRI KWENDA KWA BABU LOLIONDO

 
Ndugu Zangu,
Kama inavyoonekana pichani. Wakati mwingine nawaza na kujiuliza; hivi, kama nchi, tumekosa mwelekeo? Tumekosa visheni na maono ya kitaifa? Maana, kuna wanaoamka na kusubiri kusikia maono ya ' Babu' au labda Shehe fulani wa pale Magomeni Mikumi. Na kuna wanaomsubiri Babu atoe ' Neno' lake la Pasaka! Na wengine wataniambia; " Maggid, acha kuongelea mambo ya imani!". Na hilo ni Neno la Leo.


Maggid,
Iringa,
Alhamisi, Aprili 21, 2011.
MJENGWA - Picha, Habari & Matangazo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages