RAISI KIKWETE AKIPIGA NGOMA KATIKA HOTELI YA KILIMANJARO KEMPISKI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAISI KIKWETE AKIPIGA NGOMA KATIKA HOTELI YA KILIMANJARO KEMPISKI


 
 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipiga ngoma muda mfupi baada ya kuwasili katika hoteli ya Kilimanjaro Kempinski  kuhudhuria kikao cha Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kilichomalizika jana jijini Dar es Salaam.Pembeni ya Rais ni wasanii wa kikundi cha ngoma kutoka Burundi.Picha na Freddy Maro-IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages