SEMINA YA UNYWAJI POMBE KUPINDUKIA YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SEMINA YA UNYWAJI POMBE KUPINDUKIA YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM


 Naibu Mkurugenzi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk Joseph Mbatia akitoa hotuba kwenye semina ya waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali nchini iliyojadili juu ya unywaji pombe wa kupindukia semina hiii ambayo ilifanyika kwenye hotel ya protea Jijini Dar es Salaam.Kulia ni Bw Deo Ng'wasambi na kushoto  ni johansen Kahatano ambae ni Afisa Mnadhimu Kikosi Cha Usalama Barabarani
Dr Violet Mwanjali kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam akielezea jinsi pombe inavyomwathiri mtumiaji katika semina hiyo.Picha na Mdau Philemon Solomon

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages