WARSHA YA BAITEKNOLOJIA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WARSHA YA BAITEKNOLOJIA


Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Julias Ningu akifunguwa Warsha ya Mafunzo kwa Wasimamizi wa Matumizi Salama ya Baiteknolojia ya kisasa Nchini,kulia ni Muakilishi wa AU,NEPAD,ABNE, Profesa Diran Makinde kushoto Mkurugenziwa Uratibu na Utafiti Chuo Kikuu Dr Rose Kingamkono Warsha imefanyika Hotel ya White Sands Mjini Dar es Salaam.
 Pichani Baadhi ya Washiriki wa Warsha ya Mafunzo kwa Wasimamizi wa Matumizi salama ya Baiteknolojia ya kisasa Nchini Wakimsikiliza [Mgeni Rasmi Pichani hayupo]Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Julias Ningu wakati wa ufunguzi wa warsha hiyo Kwenye Hotel ya White Sands Mjini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Julias Ningu akimueleza jambo Mkurugenzi Uratibu na utafiti Chua kikuu Dar es Salaam Dk Rose Kingamkono Mara Baada ya Kufunguwa warsha ya Mafunzo kwa Wasimamizi wa matumizi Salama ya baiteknolojia ya Kisasa hapa Nchini kulia Mwakilishi wa AU,NEPAD,ABNE Profesa Diran makinde Warsha hiyo Imefanyika kwenye hotel ya White sands Mjini Dar es salaam.Picha na Ali Meja

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages