MAMBO YA NYUMBANI LOUNGE KILA ALHAMISI HAYA HAPA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAMBO YA NYUMBANI LOUNGE KILA ALHAMISI HAYA HAPA


 Msanii Mashuhurui kutoka nchini kenya Wayre juzi alivamia Nyumbani Lounge moja kati ya kiota kiachotesa hivi sasa jijini Dar es salaam kinachomilikiwa na Msaniii Bora nchini Lady Jaydee kama kawaida kwenye kiota chake hiki wadau mbalimbali wamekua wakipagawa kwani kila kukicha ni mwendo wa wasanii mbalimbali wanaoibuka kwenye kiota hicho na kuacha wadau wakipagawa kwa burudani
 Msaniii Bora na Mmiliki wa kiota Cha Nyumbani Lounge Lady Jaydee(kulia)akiwa na Mdau 
Kila siku ya alhamisi Machozi band kuwasha moto nyumbani Lounge na Kujaza nyomi la watu si kipolepole Usikose Wiki Hiii

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages