WANAMUZIKI WA BENDI YA EXTRA BONGO WAPATA AJALI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

WANAMUZIKI WA BENDI YA EXTRA BONGO WAPATA AJALI

2 Wanamuzki wa bendi ya Extra Bongo iliyo chini ya uongozi wa Kamalade Ally Choki, wamepata ajali mbaya alfajiri ya leo wakati wakitoka katika onyesho lao lililofanyika kwenye Ukumbi wa Meeda Sinza jana usiku.
Gari lililokuwa limewabeba wanamuziki hao limepata ajali hiyo maeneo ya Magomeni na baadhi ya wanamuziki wa bendi hiyo wamejeruhiwa na kukimbbizwa katika Hospitali ya Muhimbili kwa ajili ya matibabu.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages