VURUGU ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU MKOANI DODOMA NA ASKARI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

VURUGU ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU MKOANI DODOMA NA ASKARI

Mmoja wa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Pascal Robert, akilalama kuhusu kitabu cha Katiba mpya kwa hisia kali wakati wanafunzi hao walipofika na kutaka kuingia kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa kwa ajili ya kusikiliza mchakato wa kupata maoni ya kupata Tume ya Katiba leo mchana. Askali Polisi akilinda eneo hilo wanafunzi wasirejee baada ya kutawanywa kwa mabomu ya machozi.
Baadhi ya wanafunzi wakiwa na mabango wakati walipofika eneo la ukumbi wa Pius Msekwa.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages