MAKAA YA MAWE KUANZA KUCHIMBWA MWEZI UJAO NGAKA NA LIGANGA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAKAA YA MAWE KUANZA KUCHIMBWA MWEZI UJAO NGAKA NA LIGANGA

Mkurugenzi wa Kampuni ya Tancoal Energy, Graeme Robertson, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mradi wa uchimbaji wa makaa ya mawe utakaosimamiwa na Shirika la NDC na Kampuni kutoka Afrika Kusini. Mradi huo unatarajiwa kuanza mwezi ujao katika Wilaya za Ngaka na Liganga. Mkurugenzi wa Kampuni ya Tancoal Energy, Graeme Robertson, akizungumza na wadau mbalimbali waliohudhuria kwenye 'Presentation' hiyo.
Na Sufiani Mafoto 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages