MAJI YA TIBA YAIBUKA MKOANI MBEYA WILAYANI MBOZI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAJI YA TIBA YAIBUKA MKOANI MBEYA WILAYANI MBOZI

 Nabii Joshua Mwantyala akiwanyunyizia 'maji ya tiba' kinywani wananchi waliofika katika mkutano wake wa neno la Mungu wenye lengo la kuwaombea watu wenye magonjwa sugu wakiwemo wenye Ukimwi,Mjini Mbozi mkoani Mbeya.Nabii huyo juzi alianzisha huduma ya kugawa matone ya maji anayodai ni 'majibu ya maajabu ya Loliondo'.Picha kwa Msaada wa Mdau Reginald Miruko

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages