VIJANA WA KAZI WA ENEO LA POLISI UFUNDI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

VIJANA WA KAZI WA ENEO LA POLISI UFUNDI


Vijana wakazi wa eneo la Polisi Ufundi barabara ya Kilwa Dar es Salaam wakisaidia kuweka vyombo ndani ya nyumba ambayo ilikuwa inakaliwa na mtu asiyekuwa askari baada ya gazeti hili kuandika habari hizo Aprili 27. Nyumba hiyo sasa amepewa askari mhusika. Picha na Yusuf Badi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages