Mchezaji wa timu ya Taifa ya Vijana ya Tanzania chini ya miaka 23, Thomas Ulimwengu (kushoto) akiambaa na mpira kumtoka beki wa wa timu ya Uganda (U 23) wakati wa mchezo wa marudiano wa kufuzu kucheza michuano ya All African Games inayotarajia kufanyika mwezi Septemba mwaka huu huko Msumbiji. Mchezo huo umechezwa leo jioni kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam,ambapo Uganda imeibuka na ushindi wa mabao 3-1.Na Ripota Wa Jiji
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)