HATIMAYE MAJINA YA WAGOMBEA WA NAFASI ZA UONGOZI KATIKA SERIKALI YA WANAFUNZI YA CHUO KIKUU CHA DODOMA ZATAJWA NA KAMPENI ZA ZINDULIWA RASMI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

HATIMAYE MAJINA YA WAGOMBEA WA NAFASI ZA UONGOZI KATIKA SERIKALI YA WANAFUNZI YA CHUO KIKUU CHA DODOMA ZATAJWA NA KAMPENI ZA ZINDULIWA RASMI

Baada ya waliochukua fomu kwa ajili ya kuwania nafasi mbalimbali ikiwemo ya uraisi wa chuo kizima katika chuo kikuu cha dodoma Kuenguliwa na Kupitishwa Majina Mawili Katika Kuwania Nafasi Ya Uraisi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma.Waliochukua Fomu Kwa Ajili Ya Kuwania Nafasi ya Uraisi Wa Chuo Kizima Ni 8 lakini Tume Ya Uchaguzi Imepitisha Majina Mawili Tu ambayo Mpaka Tunaingia Mitamboni Wanafunzi Wengi  Wameonyesha Kutowakubali Na Kuilalamikia Tume hiyo Ya Uchaguzi Kwa Kukata Jina La Mtu ambaye wanafunzi wengi wanampenda kwa jinsi alivyokuwa na Msimamo na Alivyoweza Kuongoza na Kuleta mabadiliko katika Uongozi Uliopita.Majina Yaliyopitishwa Kuwania Nafasi Hiyo Ya Uraisi Wa Chuo Kizima Ni kama Ifuatavyo

1: JINA: ABOBAKARY BASHE. MWAKA WA MASOMO: 2 KOZI; INTERNATION RELATION.
2: JINA: THOBIASI MWESIGA: MWAKA WA MASOMO: 2 KOZI: PROJECT PLANNING MANAGEMENT AND COMMUNITY DEVELOPMENT.

Kampeni Zimezinduliwa Rasmi Na Mshauri Wa Wanafunzi Leo Ambapo sasa Wagombea Wote Wanaanza Rasmi kampeni Kwa Muda wa wiki moja halafu uchaguzi.Endelea Kutembelea Blogu Yenu Pendwa itakayokuletea Matukio Ya Kampeni Hadi Kupiga Kura Na Mshindi Kutangazwa

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages