SIMU YA KICHINA YALIPUKA NA KUTEKETEZA NYUMBA MKOANI IRINGA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SIMU YA KICHINA YALIPUKA NA KUTEKETEZA NYUMBA MKOANI IRINGA




Simu ikiwa imelipuka na kusababisha chumba kuungua moto katika eneo la Kihesa mjini Iringa leo asubuhi
Kikosi cha zima moto kikiwa kimefika eneo la tukio kujaribu kuzima moto japo kilifika kwa kuchelewa na kukuta mali zote zimeteketea
Sofa na mali nyingine za afisa masoko wilaya ya Iringa Tito Kilale ambaye pia ni mchungaji zikiwa zimeteketea kwa moto

mali zilizosalimika yakiwemo magari mawili ambayo yaliegeshwa nje ya nyumba hiyo
Watoto wakiwa wamejilaza nje baada ya nyumba yao kuwaka moto baada ya simu iliyokuwa imewekwa chaji kulipuka na kuteketeza nyumba ,Tahadhari kwa watumiaji wa simu ambao wamekuwa na kawaida ya kuacha simu zikiendelea kuchajiwa kwa muda mrefu kuacha utaratibu huo kwani madhara yake ni makubwa.
Na Francis Godwin

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages