SHINDANO LA MISS UNIVERSE LAZINDULIWA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SHINDANO LA MISS UNIVERSE LAZINDULIWA

Ofisa Biashara na Masoko wa kampuni ya Vodacom Tanzania, Upendo Richard (kushoto), Mkurugenzi wa Kitaifa wa Miss Universe, Maria Sarungi, (katikati) na Mrembo anayeshikilia taji la Miss Universe, Hellen Dausen, wakishikana mikono kuashilia uzinduzi rasmi wa shindano la Miss Universe linalotarajia kuanza hivi karibuni. Uzinduzi huo ulifanyika jijini jijini Dar es Salaam jana Ofisa Biashara na Masoko wa kampuni ya Vodacom Tanzania, Upendo Richard, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana,wakati wa uzinduzi wa kuanza mchakato wa kumtafuta mrembo wa Miss universe mwaka huu. Uzinduzi huo ulifanyika katika hoteli ya Golden Tulip dar es salaam. Katikati ni Mkurugenzi wa kitaifa wa Miss Universe Maria Sarungi (kushoto) ni Mrembo anayeshikilia taji la Miss Universe 2010, Hellen Dausen.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages