Rais Jakaya Kikwete (kulia) akisalimiana na Rais mstaafu wa Zanzibar Dk. Salmin Amour Maarufu kama Komandoo enzi za uongozi wake baada ya kuwasili katika uwanja wa michezo wa Amaan mjini Unguja, Zanzibar kuongoza sherehe za miaka 47 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar jana. Picha na Freddy Maro-IKULU
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)