RAISI KIKWETE ATOA ZAWADI YA PASAKA KWA VIKUNDI MBALIMBALI VYA WATOTO YATIMA NA WAISHIO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAISI KIKWETE ATOA ZAWADI YA PASAKA KWA VIKUNDI MBALIMBALI VYA WATOTO YATIMA NA WAISHIO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Jana  ametoa zawadi za Sikukuu ya Pasaka kwa vikundi mbalimbali vya watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira magumu.Pichani Kaimu mnikulu Alhaji Kassim Mtawa akimkabidhi zawadi ya mafuta ya kupikia,mchele na mbuzi kwa Sista Mary Joseph wa kituo cha kulelea  watoto yatima cha Kijiji cha Furaha Mbweni.Halfa hiyo ya kukabidhi zawadi hizo kwa niaba ya Mheshimiwa Rais ilifanyika ikulu jijini Dare s Salaam leo asubuhi.Wengine katika picha ni Sista Catherine Swai na Sister Ann Fridah.Picha na Freddy Maro-IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages